Putin: ' Hakuna atakae salimika iwapo kutatokea vita kati ya Urusi na Marekani' | TRT Swahili: Rais wa Urusi Vladimir Putin asema kuwa hakuna atakae salimika iwapo kutatokea vita baina ya Urusi na Marekani
Rais wa Urusi Vladimir Putin katika mahojiano aliyofanya na mtayarishaji maarufu wa makala Hollywood anaefahamika kwa jina la Oliver Stone.
Rais wa Urusi alisema kuwa "iwapo kutatokea Vita baina ya Urusi na Marekani hakuna atakae Salimu."
Rais Putin alizungumzia kuhusu muungano wa NATO na Marekani.
Kuhusu NATO rais Putin amesema kuwa NATO imekuwa chombo cha Marekani na sio shirika la nchi wanachama na kuendelea kusema, "mataifa katika muungano wa NATO yapo chini ya amri ya Marekani, nchi yoyote inapokuwa mwanachama wa NATO inakuwa dhaifu na kutekeleza kile ambacho kinaamrishwa na Marekani."
Imeandika Tovuti ya TRT Swahili.
Lakini wachambuzi wa mambo ya kisiasa wengi wamekuwa wakisema kwamba Vita vya maneno kati ya Urusi na Marekani, Urusi huwa anatia chachu kwa maadui wa Marekani kwa kudai kuwa upande wao ili awauzie silaha, lakini mambo yakishakuwa mabaya hukaa mbali,tumeona nchini nyingi ikiwemo Iraq, nchini Iraq Urusi ilikuwa upande wa Sadam Hussein lakini baada ya Vita kuwa kubwa Urusi ilikaa pembeni.
Wanabainisha wachambuzi wa mambo ya kisiasa. Pia inadaiwa kwamba hata Nyukilia inayozalishwa Iran inarutubishwa na Warusi.

EmoticonEmoticon