Dana Elaine Owens (amezaliwa tar.18Machi 1970) anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Qeen Latifah,ni rapa,mwigizaji na mwimbaji kutoka nchini Marekani.
Kazi zake Qeen Latifah katika muziki,filamu na televisheni zimepelekea kupata tuzo ya Golden Globe, Screen Actors Guild Awards mbili, Image Awards mbili, Grammy awards,amechaguliwa mara sita kwenye Grammy na kuchaguliwa tena kwenye Emmy Awards na Academy Awards.
Latifah alizaliwa na kukulia Mjini Newark,New Jersey, ni binti wa Rita,mwalimu wa shule ambae alifanya kazi katika shule ya Irvington High School ya Mjini New Jersey, na Lancelot Owens, ambae ni afisa wa Polisi.
Wazazi wake walitalikiana wakati Latifah akiwa na umri wa miaka kumi. Latifah alikulia katika kanisa la Kibaptist. Jina lake la kisanii, Latifah, maana yake ni " Laini na Mwana" kwa kiarabu, alipewa jina hilo na binamu yake wakati ana umri wa miaka minne.
(Qeen Latifah katika picha)
Daima msichana shupavu,urefu wa futi 5'10" wa Latifah, alikuwa mtu wa mbele katika timu ya mpira wa kikapu ya shuleni kwao. Aliimba kipengele cha "Home" kutoka katika filamu ya TheWiz katika mchezo wa kuigiza wa shuleni kwao.
•KAZI ZA MZIKI
Mwanzo (1988-1989)
Latifah alianza BeatBoxing kwa ajili ya kundi la rap la LadiesFresh. Latifah alikuwa mmoja kati ya wanachama wa toleo halisi la FlavorUnit,ambalo kwa kipindi hicho,lilikuwa kundi la Ma-MC walioungana na mtayarishaji Dj Mark the 45 King.
Mnamo 1988, Dj Mark the 45 King alisikiliza toleo la mfano (demo) la single ya Latifah "Princess of the Posse" Na kutoa demo ile kwa Fab Five Freddy, ambae alikuwa mtayarishaji wa Yo!MTV Raps.
Kurap(1989-2002)
Freddy alimsaidia Latifah kuingia mkataba na Tommy Boy Records, ambao ndio waliotoa albumu ya kwanza ya Latifah,All Hail the Qeen mnamo 1989, alikuwa na umri wa miaka kumi na sita.
Mwaka huo,alionekana kama mwamuzi kwenye UK Label Music of Life Album, "1989-The Hustles conversation (Live)" mwaka 1998, alishirikiana na Ro Smith kwa sasa ni afisa mtendaji mkuu wa Def Ro Inc. akaweza kutoa albamu yake ya nne ya Hip Hop, Order in the Court.
Kuimba (2003-2007)
Baada ya Order in the Court, Latifah akahamia jumla uimbaji wa mashairi ya muziki wenye viwango vya Soul na Jazz,ambapo awali alikuwa akifanya kama ziada wakati anafanya rekodi za Hip Hop, hapo awali.
Mnamo 2004, ametoa albamu ya Soul/Jazz the Dana Owens Albam.
Tarehe 11Julai 2007, Latifah aliimba katika Hollywood Bowl mjini Los Angeles ikiwa kama kifunguzi cha tamasha cha moja kwa moja la Jazz. Kabla ya kundi la watu wanaozidi kiasi cha 12,400,nyuma yake kulikuwa na watu wanaopiga vyombo wakiwa kumi na wengine watatu waimbaji-wa- kwa- nyuma,huitwa The Qeen Latifah Orchestra, baadae 2007 Latifah alitoa albamu iliyoitwa Trav'Lin' Light. Jill Scott, Erykah Badu,Joe Sample, George Duke, Christian McBride na Stevie Wonder wameuza sura ndani yake.
It was nominated for a Grammy in the "Best Traditional Pop Vocal albam" Category.
Mnamo 2009, Latifah akiwa pamoja na Jubilation Choir,walirekodi kibao kwenye albamu ya Oh Happy Day.
• KURUDI KATIKA HIP HOP (2008 MPAKA SASA)
Mnamo 2008, Latifah aliulizwa kama ataweza kutengeneza albamu nyingine ya Hip hop. Alinukuliwa akisema albamu imeshakamilika tayari na itaitwa " All Hail the Queen II".Kulikuwa na fununu ya kwamba albamu ingeitwa "The 'L'Word". Alipoulizwa kuhusu fununu hizo,alieleza lilikuwa ni jaribio lake Tu la "kuvuruga mibichwa ya watu,pia Latifah anazaniwa kuwa ni msagaji.
Mnamo tarehe 12 Septemba 2008 Rolling stone alitoa taarifa ya kwamba Queen Latifah anapika albamu yake inayoitwa Perisona,kasha la albamu hiyo linafanana na mchezo wa video wa Shin Megan Tinsei: Persona. Wimbo "Cue the Rain" ulitolewa kama single kiongozi kutoka katika albamu. Pia kuna wimbo kaimba na Missy Elliott
• FILAMU NA TELEVISHENI
Kazi za awali (1993-2001)
Kuanzia 1993-1998, Latifah alikuwa na uhusika katika ucheshi wa Living Single uliokuwa ukirushwa na Fox,pia alitunga na kuimba kwenye kibwagizo cha ucheshi hui.
Alianza kazi zake kwenye uigizaji wa filamu kwenye uhusika-saidizi 1991 na 1992 kwenye filamu za Home Party 2, Juice na Jungle Fever. Alikuwa na kipindi chake mwenyewe cha majadiliano kilicho kwenda Kwa jina la The Queen Latifah Show, kuanzia 1999 mpaka 2001.
Pia alipata kuwa na uhusika wa kurudia rudia kwenye msimu wa pili (1991-1992 wa kipindi mashuhuri cha NBC cha The Fresh Prince of Bel-Air.
Amepata kucheza kama mgeni mwaliko kwenye ucheshi wa Hangin with Mr. Cooper mnamo 1993.
Latifah ameonekana kwenye filamu kati ya mwaka 1996, Set It Off na kisha baadae kupata uhusika-saidizi katika filamu ya Holly Hunter, Living Out Loud (1998). Amecheza kama Thelma,1998 kwenye filamu ya Jeffrey Deavers, The Bone Collector,akiwa sambamba na Denzel Washington na Angelina Jolie.
• MAFANIKIO (2002 MPAKA SASA)
Vitabu
Latifah alitunga kitabu chake,ambacho kilichapishwa na Harper Collins-Ladies First: Revelations of a Strong Woman.
(ISBN 0-688-15623-1)
________________________________________
Imeandaliwa na Mwangaza News
Kwa Msaada wa tovuti mbalimbali
Kwa ushauri (Whatsapp +255655588445
+255762588445)
Pia unaweza kutuma maombi ya story ya MTU maarufu unaetaka tukuwekee Kwa namba hizo.

EmoticonEmoticon