Jumatano, 31 Mei 2017

JINSI KUNDI LA RICH GANG LILIVYOMWAGA PESA KWENYE KABURI LA IVAN SSEMWANGA (VIDEO)

Tags

Ivan Ssemwanga ni mwanzilishi wa kundi la Rich Gang, ni kundi la  watu wenye pesa nyingi na hupenda kuishi maisha ya anasa,juzi waliacha gumzo kwa wahudhuriaji baada ya kanisa kufanya ibada yao kabla ya jeneza kuingizwa kaburini Rich Gang nao walifanya ibada yao kisha kuanza kumwaga pombe na pesa, kitu ambacho kiliwafanya wahudhuriaji kupiga mayowe ya kushangilia.


EmoticonEmoticon